Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 4) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗪𝗔
MAFUNDI WAPO KAZIN KWA KASI YA 5G KUIPIGA RANGI NDAN
.
.
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA 200X4
.
.
KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA 𝗨𝗕𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗘𝗫𝗧𝗘𝗥𝗡𝗔𝗟 KOTE UNAFIKA NYUMBAN𝗜
NA USAFIRI WA BAJAJI UPO 500 PIA PANA DALADALA ZA KUTOKEA MJIN MOJA KWA MOJA KUPITIA KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA 4, 5, 6
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
LUKU SABMITA
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI
MAZINGIRA MAZURI
NA TULIVU
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300