Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTA KALIE SANA IPOE KIMARA TEMBONI
💰BEI KWA MWEZI LAKI MOJA MIEZI SITA
ILIPWE 100,000X6
APARTMENT KALI SANA YA KISASA
INAPANGISHWA
NI MASTER
🛣IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KILOMITA MOJA TU
SIFA ZA MASTER NI
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO UMEME WAWILI MAJI 2
IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA USAFILI UPO MWINGI BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU