Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAFAULISHWA MPANGAJI KAPATA DHARULA IPO WAZI
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI CHUMBA NA SEBULE JIKO KUBWA CHOO CHA NJE CHAKO MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS,
FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU 🏃♂️🔥🛺🚐
NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
What saapp number 0689-547258