Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


BEBA PESA USIJE KUTALII HII SI YA KUKOSA!!
‼️INATAKIWA KODI YA MIEZIX6
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANAA!!\n\nKIMARA SUKA
CHUMBA CHA KULALA MASTER NA SEBULE
JIKO LA KISASA
UMEME INAJITEGEMEA MITA YAKO
NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
BEI 150,000 KWA MWEZIX6
NDANI YA FENCE PARKING IPO 🚐🛺🏍️
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUONI BAJAJI ZIPO 700 UKISHUKA TU DK 4 UMEFIKA
KUONA NYUMBA ELFU 15 ⬅️
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747