Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 160,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA
( 1,5 ) KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
BODA BUKU
CHUMBA MASTER SEBULE NA SEHEMU YA JIKO
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258