Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KODI TSH 250,000X10/12
MAHALI KIMARA KOROGWE KWA MGUU DK 3
KATI YA HIZO MOJA IPO WAZI DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
PAVING BLOCKS BUSTANI SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12/10
What saapp number 0689-547258