Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA ZIKO NNE TU NDANI YA FENSI ..UMEME UNAJITEGEMEA  NA MAJI YANAFLOW NDANI 
SIFA ZAKE:
>CHUMBA MASTER
>SEBULE KUBWA
>JIKO 
LOCATION "KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD  KM 2.USAFIRI BAJAJI 1000 
BEI:LAKI 200,000 X MIEZI 6 
SERVICES CHARGE ELFU 15,000 
#0625606710



















