Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X4
KIMARA SUKA GOLANI YENYE SIFA HIZO
CHUMBA MASTER KUBWA,SEBLE NA JIKO KUBWA NDANI YA FENSI
UMEME NA MAJI LUKU YAKO
PIA UNAPATA RESERVE WATER TANK LTR 1000 YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI MUDA WOTE
APARTMENT IKO UMBALI WA KM 2.8 TOKA MOROGORO ROAD
BAJAJI ZIPO
SERVICE CHARGE TSH 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258