Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 210,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
โก๏ธ#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
๐ค#MAJI DAWASA NI BURE ULIPII CHOCHOTE
๐ค#USAFI WA NJEE AUFANYI
๐ค#FREE WIFI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
๐ฐBEI NI 210,000/= X 6
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1ย TUU KWA MIGUU DK 15
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA