Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 TU
YA CHIN NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404087