Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3 YA KATIKATI INAKUWA WAZI SOON KODI 600,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI ROONY MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
O627977383