Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
NICHUMBA SEBULE JIKO CHOO KALI SANA IPO NDAN YA FENC ULINZ WAKUTOSHA
Kutoka rod dakika 5 tuu umeme maji inajitegea nyumba
bei 250000X6
kwenda kuona 15,000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0710614924
#06888653940