Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA 28/04/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA CHENYE CHOO NDANI
#MASTER BEDROOM KUBWA TUU
#HAKUNA SEBULE
#HAKUNA JIKO
#LUKU NA METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#RESERVE TANK
#PARKING KUBWA SANA π
#GOOD ENVIRONMENT βοΈ π
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp