Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA
🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
‼️HAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
💰 KODI 200,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp