Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
100,000 x6
WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA UKIIKOSA JILAUMU MWENYEWE 👈🏃♂️🏃♂️🏃♂️🔥🔥🔥
LOCATION KIMARA SUKA UMBALI KM 1.8⬅️
USAFIRI BAJAJI ZIPO UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 5
MASTER YA KISASA KABISA INAPANGISHWA
KODI LAKI MOJA ILIPIWE MIEZIX6 ⬅️ 100,000x6
SIFA ZAKE ZA NDANI 👈
MADIRISHA SLYID WINDOWS
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
LUKU SUB MITA
FENI SAFII!!
ZIPO APARTMENT TATU
KWENYE FENSI MAZINGIRA MAZURI SANAA TULIVU
NDANI YA FENSI PARKING IPO🚕🚕
KODI TSH 100,000x6
KUONA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
0679 956 863
0759151524