Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA MASTER 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI 
BEI NI 250,000/= X 6 
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
 .. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3  TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336




















