Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA STEND
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master sebule na jiko zuri
Nzuri inapangishwa
BEI SHILLING 200,000 X 3 - 6
Nyumba kubwa sana hapa zipo 3 kwenye fence moja
Kilamoja inajitegeme umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba Shilling 15,000
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
What saapp number 0689-547258
CALL
CALL