Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kimara Bucha
Bei: 350,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Km1 Kutoka Mwendokasi
☑️Master Sebule Jiko
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Full Ac & Heater
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalaliramadhani mbezi beach tz
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp