Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844
#0657384670
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1,8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 PKPK ELFU 1000
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOON NA JIKON
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT