Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 4
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YAKO
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA HAINA FENCE
💰BEI NI 180,000/= X 3
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOR0GWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5...USAFIRI BAJAJI 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU#0625606710