Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Chumba Sebule Choo na Jiko (350,000) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
#APARTMENT FOR RENT KIMARA STOP OVER
💎CHUMBA CHA KULALA
💎SEBULE
💎JIKO NZURI
💎CHOO CHA NDANI
💎UMEME LUKU YAKO
💎MAJI MITA YAKO
KODI NI TZS 350,000/= x 6
NYUMBA IPO KIMARA STOP OVER UMBALI WA KILOMETA 1 KUTOKA LAMI BODA 1000/=
NYUMBA INA MAZINGIRA MAZURI SANAA NA TULIVU
SERVICE CHARGE NI 20,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300