Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 160,000  x  3)  KIMARA MWISHO  APARTMENT  YA KISASA  INAPANGISHWA ZIPO ( 4 )  KWENYE COMPSUND MOJA NDANI YA FENSI
UMBALI  WA KILOMETA ( 2 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ  1000/=
CHUMBA SEBULE NA  JIKO LA KISASA NA PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
TILES  GPYSUM  SLAIDING WINDOW
UMEME  MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI  YA FENSI 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0765-494343
0683-387747




















