Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI 
#MASTER KUBWA NA JIKO LAKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI HAKUNA PARKING 
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0785888413




















