Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#LUKU 2 TU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YANAWEKWA ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 200,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.