Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA_MASTER_BEDROOM_KUBWA
#SEBULE_KUBWA
#JIKO_KUBWA
#PUBLIC_TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ULINZI UPO
BEI NI 300,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300