Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000 × 6) DK 4 TUU KWA MIGUU
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUIONA NDANI NI RUKSA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
KUBWA
KUBWA
TOILET
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
KUBWA SANA
BEI NI 500,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300