Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(170,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
💥 BEI NI 170,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO:
#CHUMBA_MASTER_BEDROOM_KUBWA_SANA
#JIKO_FULL_MAKABATI
(𝗡𝗶 𝗰𝗵𝘂𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗮 𝗷𝗶𝗸𝗼 𝘁𝘂)
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 170,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU
USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUNA 5000 YA USAFI WA MAZINGIRA KWA KILA MWEZI INALIPWA KWA PAMOJA KWA MIEZI SITA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300