Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI LAKI 250,000 X6 INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
NYUMBA IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BARABARA INAYOWEKWA LAMI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA NI TZ'S 500 TU
SIFA ZAKE 👇
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA MNO YAKUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS
ZIKO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI ²⁴/7
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA KWANI BADO HUJACHELEWA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
SIMU 0659336751 WSP 0786085637