Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
MASTER BEDROOM KUBWA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA KIMARA
KODI NI TSH 80,000X5
ILIPWE ELFU THAMANINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITANO NA KUENDELEA
SIFA ZAKE NI:
CHUMBA MASTER
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI AYA FLOW NDANI
UMEME SUB MITER YAKE
PARKING HAKUNA
MAZINGILA MANZURI SANA MNO
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM1.5
USAFIRI UPO
BAJAJI
DALADALA
BODA BODA
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA*
SERVICE CHARGE TSH 15,000/=
What saapp number 0689-547258
KARIBUNI SANA