Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(500,000X6) KIMARA TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD...
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIR CONDITION KOTE
#HEATER
#GARDEN NZURI INATENGENEZWA
#ULINZI BURE MASAA 24
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453