Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZINAPANGISHWA AT KIMARA KOROGWE
MASTER BEDROOM NA JIKO
FULL TILES, GYPSUM NA ALUMINUM,
UMEME INAJITEGEMEA,
MAJI YANAFLOW CHOONI,
MAZINGIRA TULIVU
KODI 200,000 X 4
LOCATION NI KIMARA KOROGWE WASTANI WA DK 10--15 KWA MGUU TOKA MWENDOKASI AU BODA BUKU
SERVICE CHARGES
15K KUONYESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
#0710614924
#0688653940