Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025
WASTANI
MASTER
ZURI LENYE KABATI
KOTE
NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA SAFI KABISA
KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















