Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
BEI
TSH. 300,000/= KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 6
SIFA
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
GARDEN
PARKING SPACE
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
ULINZI NA MTU WA USAFI NA GARDEN NI BURE
LOCATION
KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. USAFIRI BAJAJI TSH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
NOTE** NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI.
WASILIANA NASI:
0716834095, 0684217177