Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x6 0759151524
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA 300,000 x6
====
Chumba cha kulala,sebule Choo ndani na jiko
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 Usafiri bajaji ukishuka umefika nyumbani
====
Maji yanaflow chooni, umeme inajitegemea
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679 956 863
0759151524
0781 418 437