Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#PUBLIC TOILET
#KUNA SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA KULALA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (ULINZI NI WA UHAKIKA NDUGU MTEJA)
#PARKING

BEI NI 350,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

Contact 0712474756

Dalali makini kimara
dalali_makini_kimara__goba
Dalali makini kimara

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#KODI NI 250KMAJI ELFU 10USAFI WA MAZINGIRA YA NJE ELFU 10JUMLA NI 270X6=================ILA UKIWA N...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTIMENT ZINAPANGISHWA------------------------------📌KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿📌#ZIPO NYUMBA MBILI T...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#APARTIMENT INAPANGISHWA(300K X 4)------------------------------📌KIMARA SUKA (Dsm) Umbali:1. Km BA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️Zipo 2 Kwenye Fence Location: KIMARA SUKA (Dsm) Distance: KM 1 Kutoka...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTIMENT ZINAPANGISHWA------------------------------📌KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿📌#ZIPO NYUMBA MBILI T...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#APARTIMENT INAPANGISHWA(300K X 4)------------------------------📌KIMARA SUKA (Dsm) Umbali:1. Km BA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI KUINGINA TAR15.9.2025 KUONA NA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

NYUMBA INA UZWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI -----SQMT 500------SERVICE CHARGE 30,000/=BEI MILION...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(700,000X6) VYUMBA 3VITATU ..500,000X6 VYUMBA VIWILI ——APARTMENT KALI SANA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

(270,000X6)KIMARA KOROGWE USAFI WA MAZINGIRA YA NJE ELIFU 10JUMLA NI 270X6=================✔️CHUMBA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTIMENT ZINAPANGISHWA------------------------------📌KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿📌#ZIPO NYUMBA MBILI T...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#APARTIMENT INAPANGISHWA(300K X 4)------------------------------📌KIMARA SUKA (Dsm) Umbali:1. Km BA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI BEI NI 400,000/=...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Mpya Kali InapangishwaMahali: Kimara KorogweBei: 500,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Km1 Kutok...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA NA SEBULE KUBWA ..IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE..KM 1 KUTOKA MOROGOR...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA INA PANGISHWA 500X6INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI BEI NI 400,000/=...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA KODI:: 100,000X6 UMBALI KUTOKA MOROGORO ...