Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
IMEBAKIA 1 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIR CONDITION KOTE
#HEATER
# FREE Wi - Fi
#GARDEN NZURI
#ULINZI BURE MASAA 24
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/= X 6
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONYESHWA SITE 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258