Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NIMESHUSHA BEI YA MSELELEKO SASA
INAPANGISHWA 150,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA SANA
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO UMEME SUB METER MAJI YANA FLOW NDANI
MAFENI CHUMBANI NA SEBULENI
150,000X6 AU
KOD 180,000 x 4
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 500
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp Number 0689-547258