Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA ZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 230,000/= X 6
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU AU BODABODA SHILINGI ELFU 1 AU BAJAJI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
đź’ĄNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0679447338
0753454167