Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(100,000X4)KIMARA TEMBONI 1.5KM BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA NA CHOO NDANI TUU
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA, NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM YA KIBABE
NA CO KUBWA SAANA..
USALAMA 💯%
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
*#MASTER BEDROOM*
*#TILES*
*#GIPSUM*
*#ALMINIUM*
*#MAJI METER YAKO*
*# UMEME SUB METER YAKO*
*💥KODI YAKE 100 X4//*
ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA..
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2
BAJAJI TSH 700/=
BODA. TSH1000/=
*NOTE::* HII INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 20/ O3/ 2025, KUJA KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA 📌
🏡🇹🇿 KARIBU SANA..
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343