Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
📣 Apartment Mpya Inapangishwa KIMARA KOROGWE
#Imebaki 1 tu_Iwahi
📍 Kodi 200,000/= x6
__
___
• Jiko
• Chumba Master Kizuri
* UMEME Sub-Miter
* Ndani ya Fensi
* Maji Ndani
* Mazingira Tulivu
#Umbali wa dakika 7 tu kwa miguu
#Note:- Kodi Inaambatana na Hela ya Tahadhari 200k, unavyohama inarudishwa kama hujafanya uharibifu
______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 200,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
_________
№:- 0753-172-516