Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI
USALAMA 💯%
CHUMBA MASTER BEDROOM
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 💰KODI YAKE 80K X6//*
*ILIPWE ELFU THEMANINI KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA.*
#MASTER BEDROOM ‘SINGLE’’
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME SUBMITER YAKE
#MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
*UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO, WAPANGAJI NI WAWILI TU..📌*
*❌MASTER BEDROOM HII IPO KWENYE FENCE AMBAYO HAILAZI GARI ❌*
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
#0625606710