Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= ร 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
๐ANATAKIWA MPANGAJI MSELA (BACHELOR) AU MTU NA MCHUMBA WAKE TUU
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
๐ฅNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
#0785889413