Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU.
CHUMBA
SEBLE
JIKO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000X6
INAKUWA WAZI TAR 30.8.2025
KUONA NA KULIPIYA LUKSA