Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KUTOKA LAMI
ZIMEBAKI CHACHE
-------
Chumba master
Sebule kubwa
Jiko kubwa lenye makabati
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
----------
Contact:
0654101710
0787205300