Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA(130K X 3)
------------------------------
📌I:KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿
📌#IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU
Umbali:2.5 Km BAJAJI 1000/=
_________________________
MUUNDO ÷
✔️Chumba Master
✔️Sebule kubwa
✔️Sehemu Ya Jiko
✔️Choo Cha Public
✔️Nyumba za Kisasa
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Ndani)
✔️LUKU YAKE
✔️ RESERVE TANK
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 130,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 03/04/05/06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI