Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI SANA MPYA INAPANGISHWA
ZIPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA DK 8 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
SIFA ZAKE
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE
✔️ KIBARAZA UNAWEZA FANYA JIKO
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA KIBARAZA KIZURI UNAFANYA JIKO
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA APO
APARTMENT HIZI NI MPYA FENCE BADO
KODI 200,000 ×6
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0618976024



















