Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE ENEO MOJA NA HII MOJA NDIO IPO WAZI
#ZIPO NDANI YA FENSI YA WAYA MZURI
BEI NI 220,000/=x6
ILPWE LAKI 2 NA ELFU 20 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
Itakuwa wazi TAREHE 15 mwenzi huu kuona kulipia ruksa endapo MPANGAJI atakuwepo
Contact
0652472014
0754344786