Nyumba/Apartment inapangishwa Kisima, Kilimanjaro


▶️ APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA
▶️ MAHARI ➡️ CHIDACHI DODOMA
📍 MUUNDO
▶️ CHUMBA
▶️ CHOO
▶️ SEBULE
▶️ JIKONI WANAFUNGA MAKABATI
📍 HUDUMA
▶️ UMEME INAJITEGEMEA
▶️ MAJI YAPO ( Kisima ) Muda wote
▶️ JIRANI NA LAMI
📌 KODI ▶️ 250,000/= @ MWEZI ( 1 )
⚜️ NB : KUINGIA TAREHE 18 / MWEZI HUU
▶️ NAMNA YA MALIPO
▶️ NI KUANZIA MIEZI ( 3 ) AU ZAIDI
▶️ NA KODI YA MWEZI MMOJA WA DALALI -
ANALIPIA MTEJA ( MPANGAJI )
▶️ SITE FEE NI ELFU KUMI ▶️ 10,000/=
☎️ 0787-037986
☎️ 0757 -037986
▶️ KARIBUNI SANA WATEJA WANGU