Nyumba/Apartment inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
Master bedroom na sebure na jiko
Ipo makongo mwanzoni
Bei 450000
Service charge elfu 20. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087