Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMETA.1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA BODA BUKU TUU.
CHUMBA MASTERS
SEBLE KUBWA SANA
UMEME SUBMETER YAKE
MAJI YANA FLOW CHOONI
PUBLIC TOILET IPO NJEE
FULL SECURITY 24HRS
MAZINGILA MANZURI SANA
KODI NI TSH 150,000/=X"6"
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347